Afya and Fitness TV (AFTV) is all about Health education. We offer up to date information on how to stay healthy. Our aim is to translate complicated scientific information into simple, easy to understand language. We use attractive visual aids to deliver appropriate health information.
With the wide network of scientists and medical professionals, AFTV is here to help you.
Tunaelimisha, tunajali, na tunahudumia. Ndo hivyo tena!!..
Afya and Fitness TV (AFTV) ni kuhusu elimu ya afya bora. Tunatoa elimu muafaka ya jinsi ya kuwa na afya njema. Dhumuni letu ni kutumia lugha rahisi na vielelezo vyenye kuvutia kutafsiri maneno magumu yanayotumiwa na wanasayansi katika kukuelimisha.
Kwa kutumia mtandao mkubwa tulionao, wa wanasayansi, na wataalamu wa afya, AFTV iko hapa kukuelimisha.